Details:

MATEMA BEACH TOUR

Hii ni safari iliyo andaliwa na kampuni ya utarii kwajina la ERAN TOURS ANDSAFARIS.

Dhumuni la kuandaa hii safrari ni kuhakikisha watanzania wana furahia fahari ya wao kua watanzania kwa kutembelea vivutio vizuri vinavyo patikana ndani ya Tanzania,
Safari hii inayo tarajiwa kufanyika tarehe 3/10/2021.

Kuanzia saa 12:30 asubuhi na mapema ili watarii muweze kupata muda mrefu wa kufurahia MATEMA na muda wa kuanza safari kutoka MATEMA itakua saa 12:00jion.Watarii wote tutakutana stendi ya kabwe,mbeya na watarii watakao kua njiani kuelekea Kyela wao tutakua tuna walitia katika vituo vyao.

Ghalama za safari hii ni kiasi cha wastani ambacho kila mtanzania uwezo nacho ambacho ni . Tsh 20000/ kwa kichwa.Na tutapata kinywaji aina ya maji kwa kila mmoja.ahsanten na fanya booking yako mapema ili usije kosa.

Utarii wa ndani na eran Tours and safaris company.


Hsm